Mpira sio mchezo wa kiungwana. Nimeacha rasmi kushabikia timu yoyote kutoka Ulaya!

Hayo ndio madhara ya kushobokea mpira ukubwani...Ni wazi unaonekana umeanza kufuatilia soccer ulipopota kibarua cha kwanza ulijikuta nawe unakuwa mshabiki maandazi ili uendane sawa na rafk yako wa hapo kazn kwako.Mapenzi yapo kwenye damu usiache kuvaa mtumba wa kijani eti kisa we ni wa msimbazi.
 
Mimi ni mshabiki wa Liverpool, niliumia kwa alichokifanya Ramos, ila kimpira zile mbinu zinahusika sana.

Kumuumiza jamaa mpaka akose kombe la dunia ndo pigo kubwa zaidi.
Kuna emoj nimeitafuta sijaiona so ngoja nipite [emoji124] [emoji124] poleni [emoji23][emoji23] [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Pole sana
 
Kuna emoj nimeitafuta sijaiona so ngoja nipite [emoji124] [emoji124] poleni [emoji23][emoji23] [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Asante mama, we enjoyed while it was lasting.

Personally safari toka inaanza mpaka ilipofikia nimeinjoy, I had the best moment kwenye sports this time.

Just felt sorry for the lad, I wish he recovers before WC.
 
He will recover i belive
 
Msijitoe ufahamu, aliyeanza mshika mwenzake mkono ni Salah, angalieni video, hata alipokua anadondoka aliyekua katangulia ni Ramos ila ndo bahati mbaya mkono ikawa hivo.
 
Huu jamaa siku nikikutana nae nampa nauli ya kwenda mbinguni,,,,, ni zaid ya mpumbavuu,,,, yaani ramosiii mjingaa sanaa si akacheze mieleka tuuuu

The End justifies The Means.

Huna sababu ya kulalamika, hizi tactics kwenye mpira ni very common, na kama ingekuwa ni mchezaji wetu ndo kamtoa adui tungeshangilia.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kaka skukuelewa yaan mtu anachagua tim 6 ambazo zote ni super asa mbona mpira hauna maana
hahaha hatutaki stress brazs, umeona kama wenzako jana walikua macho na mioyo yao yote kwa Mo Salaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nadhani unajua nn kiliwapata......aisee wee tuache na timu zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…