GeniSys101
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,229
- 1,465
Angekuwa huku kwetu angekuwa mpiga roba za mbao kitaa…Ila Ramos ni mpumbavu Wa kutupwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwa huku kwetu angekuwa mpiga roba za mbao kitaa…Ila Ramos ni mpumbavu Wa kutupwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi wakuu how comes kombe ka dunia lina tim 32 halaf unakuwa na tim 5?
Ujue hiyo ni zaidi ya 1/8 ya tim zote. [emoji23]
hapo ndio alipo feliUjinga ni kwa kocha kuingia uwanjani akiwa na plan ya kumtumia mo salah peke yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilishakujibu hili swali lako braza...
Hivi wakuu how comes kombe ka dunia lina tim 32 halaf unakuwa na tim 5?
Ujue hiyo ni zaidi ya 1/8 ya tim zote. [emoji23]
Kuna emoj nimeitafuta sijaiona so ngoja nipite [emoji124] [emoji124] poleni [emoji23][emoji23] [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mimi ni mshabiki wa Liverpool, niliumia kwa alichokifanya Ramos, ila kimpira zile mbinu zinahusika sana.
Kumuumiza jamaa mpaka akose kombe la dunia ndo pigo kubwa zaidi.
Pole sanaHii usemi wa fair play kwenye upande wa soccer naona si mahala pake.
Ebu tazama wachezaji wanavunjana tena kwa makusudi kabisa na huku refa akitoa mijicho yake tu.
Hivi kuna umuhimu gani wa kuendelea kutumia maneno Fair play wakati wachezaji hawapo fair?
Nimeumia sana leo mpaka nimeuchukia mchezo wa soccer.
Kwasababu zangu binafsi kuanzia leo sitoshabikia timu yoyote kutoka Ulaya.
Kwenye kombe la dunia timu zangu tano ni
1. Argentina
2.Brazil
3.timu zote za africa
4.Japan
5.Saudi Arabia
Kabla ya leo zilikuwa
1.Spain
2.Argentina
3.Belgium
4.Egypt
5.France
Soccer ni vita.
Kuna emoj nimeitafuta sijaiona so ngoja nipite [emoji124] [emoji124] poleni [emoji23][emoji23] [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Povu la nini mkuu??Ila Ramos ni mpumbavu Wa kutupwa.
He will recover i beliveAsante mama, we enjoyed while it was lasting.
Personally safari toka inaanza mpaka ilipofikia nimeinjoy, I had the best moment kwenye sports this time.
Just felt sorry for the lad, I wish he recovers before WC.
He will recover i belive
Huu jamaa siku nikikutana nae nampa nauli ya kwenda mbinguni,,,,, ni zaid ya mpumbavuu,,,, yaani ramosiii mjingaa sanaa si akacheze mieleka tuuuuPovu la nini mkuu?? View attachment 787373
The very bestAsante, hope you had the best night yesterday...
The very best
Huu jamaa siku nikikutana nae nampa nauli ya kwenda mbinguni,,,,, ni zaid ya mpumbavuu,,,, yaani ramosiii mjingaa sanaa si akacheze mieleka tuuuu
hahaha hatutaki stress brazs, umeona kama wenzako jana walikua macho na mioyo yao yote kwa Mo Salaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kaka skukuelewa yaan mtu anachagua tim 6 ambazo zote ni super asa mbona mpira hauna maana