Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipa kazingua goli 1 tu....lile la kwanza ila mengine yote usimlaumu unamuoneaWalioharibu Mpira
1. Ramos, hovyo sana huyu jamaa
2. Refa kufumbia macho uuwaji wa Ramos, kamuumiza Sala makusudi
3. Golikipa wa Liverpool, magoli mawili kawazawadia Real Madrid
kusema kweli hua sielewi unachoongea ndugu.. sasa hii inahusiana nini na ulichokinukuu?Wengine walipata div four na zero walichukuliwa wenye one na two
Wewe hujachezaga mpira hujui ata soccer hayo matukio ya kuumia katika game n kawaida
Umeona leo tu?? Mbona derby ya kariakoo yule beki alimtemea mate mwenzie, na refa alikuwepo anakodoa macho tu?Hii usemi wa fair play kwenye upande wa soccer naona si mahala pake.
Ebu tazama wachezaji wanavunjana tena kwa makusudi kabisa na huku refa akitoa mijicho yake tu.
Hivi kuna umuhimu gani wa kuendelea kutumia maneno Fair play wakati wachezaji hawapo fair?
Nimeumia sana leo mpaka nimeuchukia mchezo wa soccer.
Kwasababu zangu binafsi kuanzia leo sitoshabikia timu yoyote kutoka Ulaya.
Kwenye kombe la dunia timu zangu tano ni
1. Argentina
2.Brazil
3.timu zote za africa
4.Japan
5.Saudi Arabia
Kabla ya leo zilikuwa
1.Spain
2.Argentina
3.Belgium
4.Egypt
5.France
Soccer ni vita.
Walioharibu Mpira
1. Ramos, hovyo sana huyu jamaa
2. Refa kufumbia macho uuwaji wa Ramos, kamuumiza Sala makusudi
3. Golikipa wa Liverpool, magoli mawili kawazawadia Real Madrid
Sure upo sawa. Kosa kubwa limesababishwa na muangukaji mwenyewe, huwezi kuvutwa vile ukaanguka kama ndezi tena kwa kutanguliza mikono, wakati unajua kabisa ule ni mpira wa miguu....!sioni kosa la Ramos, nimeangalia hiyo incident zaidi ya mara tano, sijaona kosa la Ramos, sidhani kama he brought him down intentionally.
Comment of the day, umemaliza kila kitu mkuu!!Ujinga ni kwa kocha kuingia uwanjani akiwa na plan ya kumtumia mo salah peke yake
Mbona mwenzake Messi anakutana na Sergio Ramos na Pepe karibu kila msimu na halalamiki??Hapo sawa, mbinu zipo sanaaaa. Sema Mo ni mpole sana km mess, ila hii ya kumiss wc hata mimi imeniumiza mno daah.
Acha kushabikia timu za uingereza kwenye uefa zitakutoa roho, timu za uingereza ni malofa sana quality player wanawauza laliga wanabaki na temporary player halafu wanategemea kushindana nazoHii usemi wa fair play kwenye upande wa soccer naona si mahala pake.