Mpira sio mchezo wa kiungwana. Nimeacha rasmi kushabikia timu yoyote kutoka Ulaya!

Mpira sio mchezo wa kiungwana. Nimeacha rasmi kushabikia timu yoyote kutoka Ulaya!

Kila kitu duniani hapa tunapaswa kuelewa kwamba kinatokea kwa mipango na sio bahati mbaya. Hata bingwa wa kombe la dunia anajulikana isipokuwa lazima tuhadaiwe na kucheza mechi zote ili ionekane bingwa kapatikana kihalali.

Katika dunia hii kuna secret service nyingi ambazo hufanya kazi kwa matakwa flani ili yatimie.Mnikumbushe kuanzia Jumatano nije na uzi wa kuzichambua sercet service hizo na ushahidi nitauweka hapa muone.
NOTE.Mshindi wa KOMBE LA DUNIA anajulikana tayari sis tuendelee tu kushabikia timu tuzipendazo ila BINGWA kashafanyiwa mchakato kitambo.Unahitaji uwe na akili nyingi mno kunielewa nachokimaanisha
jumatano kesho kutwa shekhe.anza kuandaa hayo matukio now
 
Hayo ndio madhara ya kushobokea mpira ukubwani...Ni wazi unaonekana umeanza kufuatilia soccer ulipopota kibarua cha kwanza ulijikuta nawe unakuwa mshabiki maandazi ili uendane sawa na rafk yako wa hapo kazn kwako.Mapenzi yapo kwenye damu usiache kuvaa mtumba wa kijani eti kisa we ni wa msimbazi.
[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Msijitoe ufahamu, aliyeanza mshika mwenzake mkono ni Salah, angalieni video, hata alipokua anadondoka aliyekua katangulia ni Ramos ila ndo bahati mbaya mkono ikawa hivo.
 
Attachments

  • IMG-20180528-WA0011.jpg
    IMG-20180528-WA0011.jpg
    57.9 KB · Views: 22
Kila kitu duniani hapa tunapaswa kuelewa kwamba kinatokea kwa mipango na sio bahati mbaya. Hata bingwa wa kombe la dunia anajulikana isipokuwa lazima tuhadaiwe na kucheza mechi zote ili ionekane bingwa kapatikana kihalali.

Katika dunia hii kuna secret service nyingi ambazo hufanya kazi kwa matakwa flani ili yatimie.Mnikumbushe kuanzia Jumatano nije na uzi wa kuzichambua sercet service hizo na ushahidi nitauweka hapa muone.
NOTE.Mshindi wa KOMBE LA DUNIA anajulikana tayari sis tuendelee tu kushabikia timu tuzipendazo ila BINGWA kashafanyiwa mchakato kitambo.Unahitaji uwe na akili nyingi mno kunielewa nachokimaanisha
Naweka kambi
 
Wazungu weusi wamefurahia kitendo alichokifanya Ramos kwa salah..
 
Kuumia uwanjani ni jambo la kawaida, hata macho yatoke au miguu yote ivunjike au hata vitu muhimu mwilini ving'ote. Hiyo yote ni mpira wa miguu. Tatizo hapa inakuwa mchezaji anaumiaje? anachezewaje rafu? kwa nia gani? na kwa faida ya nani?
 
Japo nilifurahi Liverpool kufungwa ila mpira uliharibiwa na Ramos. Mamlaka husika ni lazima wampe adhabu stahiki Ramos. Aliacha mpira na kuung'ang'ania mkono wa MO mpaka akaulalia na kumtegua bega. Challenge ya kipumbavu sana. Hii itabaki kwenye historia chafu ya mpira. Hata hivyo Liverpool haina safu ya kutosha kuifunga RM. Hata MO angekuwepo, RM wameonyesha mchezo wa kisayansi sana.
Salah alianza kung'ang'ani Ramos, hafu bega aliloumia siyo lile ambalo mkono ulikuwa upande wa Ramos
 
Mmh sijui watu wanawezaje kuacha kuishabikia timu.. Mimi siwezi jamani. A true fan finds a way to support his team, no matter what happens.
 
Mnapoangalia mpira na matokeo yenu mifukoni madhara yake ni kupata msongo wa mawazo.
Kuna mechi wachezaji wengine wameacha miguu uwanjani au wametoka uwanjani wakiwa hawana fahamu kabisa. Ukitaka fair ya kutoumia nenda kacheze karata.

Kama kubet vila
 
Back
Top Bottom