Chimbuko la mpira wa miguu ulianzia nchini China takribani miaka 2000 iliyopita
Ma monk na mashaolini ndio walianza kuchezea mawe mfano wa mpira katika mazoezi. Na hapo baadae ukaanza kupata umaarufu.
Nchi ya England ili Fanya mabadiliko kwa mchezo huo na kufanya uwe rasmi na hapo ukajipa umaarufu na kuanza kuenea maeneo mengine ya America ya Kusini.
Na duniani kote
#Iam Zagarino