Mpira ulianzia nchi ya China

Mpira ulianzia nchi ya China

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Chimbuko la mpira wa miguu ulianzia nchini China takribani miaka 2000 iliyopita

Ma monk na mashaolini ndio walianza kuchezea mawe mfano wa mpira katika mazoezi. Na hapo baadae ukaanza kupata umaarufu.

Nchi ya England ili Fanya mabadiliko kwa mchezo huo na kufanya uwe rasmi na hapo ukajipa umaarufu na kuanza kuenea maeneo mengine ya America ya Kusini.

Na duniani kote

#Iam Zagarino
 
Ila kwelii ulianzia china tena kipindi cha shaolin soka.
 
Back
Top Bottom