Mpira umeisha kwa Amani wanaodai Haki haikutendeka wanataka kuvuruga michuano ya AFCON.

Afa
Watanzania hatujui kipaumbele chetu ni nini, Amani kwanza au Haki kwanza.

Baada mechi kwisha na Tanzania kutolewa kwa (0-1) na Morocco, wachezaji na benchi lote la ufundi walisimama wakimlalamikia refa kuwa hakutenda Haki, vile vile kuna Watanzania wanasema refa hakutenda haki kawanyima Stars penalty ya wazi.

Mimi nasema tumshukuru Mungu mpira umeisha kwa Amani kabisa, turudi nyumbani tujipange upya, wanaodai Haki wanataka kuvuruga Amani ya michezo ya AFCON.

Tunamuomba kiongozi wa msafara Paul Makonda awafikishie viongozi wenzake jinsi inavyouma pindi unaponyimwa haki yako.

Hivi nao wanadai HAKI?
 
Tuendelee kuhubiri amani ndiyo kitu muhimu sana kuliko haki
 
Watanzania hatujui kipaumbele chetu ni nini, Amani kwanza au Haki kwanza.

Baada ya mechi kwisha na Tanzania kutolewa kwa (0-1) na Morocco, wachezaji na benchi lote la ufundi walisimama wakimlalamikia refa kuwa hakutenda Haki, vile vile kuna Watanzania wanasema refa hakutenda haki kawanyima Stars penalty ya wazi.

Mimi nasema tumshukuru Mungu mpira umeisha kwa Amani kabisa, turudi nyumbani tujipange upya, wanaodai Haki wanataka kuvuruga Amani ya michezo ya AFCON.

Tunamuomba kiongozi wa msafara Paul Makonda awafikishie viongozi wenzake jinsi inavyouma pindi unaponyimwa haki yako.
Hahahah
Wamteke refa bana
 
Back
Top Bottom