Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 4,476
- 9,583
Watanzania hatujui kipaumbele chetu ni nini, Amani kwanza au Haki kwanza.
Baada mechi kwisha na Tanzania kutolewa kwa (0-1) na Morocco, wachezaji na benchi lote la ufundi walisimama wakimlalamikia refa kuwa hakutenda Haki, vile vile kuna Watanzania wanasema refa hakutenda haki kawanyima Stars penalty ya wazi.
Mimi nasema tumshukuru Mungu mpira umeisha kwa Amani kabisa, turudi nyumbani tujipange upya, wanaodai Haki wanataka kuvuruga Amani ya michezo ya AFCON.
Tunamuomba kiongozi wa msafara Paul Makonda awafikishie viongozi wenzake jinsi inavyouma pindi unaponyimwa haki yako.
Tuendelee kuhubiri amani ndiyo kitu muhimu sana kuliko hakiWatanzania hatujui kipaumbele chetu ni nini, Amani kwanza au Haki kwanza.
Baada mechi kwisha na Tanzania kutolewa kwa (0-1) na Morocco, wachezaji na benchi lote la ufundi walisimama wakimlalamikia refa kuwa hakutenda Haki, vile vile kuna Watanzania wanasema refa hakutenda haki kawanyima Stars penalty ya wazi.
Mimi nasema tumshukuru Mungu mpira umeisha kwa Amani kabisa, turudi nyumbani tujipange upya, wanaodai Haki wanataka kuvuruga Amani ya michezo ya AFCON.
Tunamuomba kiongozi wa msafara Paul Makonda awafikishie viongozi wenzake jinsi inavyouma pindi unaponyimwa haki yako.
😂😂😂😂Best loser analalamika kufungwa na timu kama morocco.
HahahahWatanzania hatujui kipaumbele chetu ni nini, Amani kwanza au Haki kwanza.
Baada ya mechi kwisha na Tanzania kutolewa kwa (0-1) na Morocco, wachezaji na benchi lote la ufundi walisimama wakimlalamikia refa kuwa hakutenda Haki, vile vile kuna Watanzania wanasema refa hakutenda haki kawanyima Stars penalty ya wazi.
Mimi nasema tumshukuru Mungu mpira umeisha kwa Amani kabisa, turudi nyumbani tujipange upya, wanaodai Haki wanataka kuvuruga Amani ya michezo ya AFCON.
Tunamuomba kiongozi wa msafara Paul Makonda awafikishie viongozi wenzake jinsi inavyouma pindi unaponyimwa haki yako.
stakehigh Chibike Foffana Niko pamoja na SamiaDah yani mpira ni kama uchaguzi tu, unaweza zurumiwa haki yako na ukaona inaenda kabisa alafu mwishoe unampa mkono alie kudhurumu haki yako. Refa 1:Tanzania 0
Kazi kweli kweli.Mimi nasema tumshukuru Mungu mpira umeisha kwa Amani kabisa, turudi nyumbani tujipange upya, wanaodai Haki wanataka kuvuruga Amani ya michezo ya AFCON.
Refa kachezesha kwa Amani,tuliende amani ya Africom sema wachezaji wa Tanzania walitaka kuandamanaRefa mnonko kapewa mpunga mrefu.
AFCON??TEC -HAKI
CCM-AMANI
TEC-HAKI
SHEBWABWAZ-AMANI
Unajizima data.Mbona kwenye uchaguzi haki haikutendeka na watu mlikua kimya.