Mpira umeisha kwa Amani wanaodai Haki haikutendeka wanataka kuvuruga michuano ya AFCON.

Wanalalamika nini hawa wamefungwa kwasababu wameshindwa kucheza vizuri na hawakujipanga tudumishe amani ya AFCON hiki kikundi cha watanzania wachache walio shindwa kihalali wasitake kutuvurugia amani yetu
Hahaha
 
Ni jambo zuri kwa chawa nao kupitia maumivu kama watu wengine.
 
Gamondi anahamasusha vurugu. Anatakiwa kupewa kesi ya uhaini na CAF.
 
Dogo Chizi sana hahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…