[emoji380][emoji380][emoji380]Hahahahhaha [emoji379][emoji379][emoji379]
Wasomeshe[emoji12] [emoji12]Hahahahaha sisubirii kufika huko jina tu linanitangaza dj
Nlipigana majimaji war. Nkisema majiiiiiiSa hapo si nshakumalizaa na kisu chako cha kuchinja kuku utanifanya nn[emoji16][emoji16]
Hahaa kisa cha kuumbuliwa mi nataka,na venye niko kinene hivi,hiyo picha ikitupiwa humu jf yote lazima itetemeke kwa kishindo[emoji23] [emoji23] watakimbia watu humu,staki kabisa kutia aibuIla ukikosea ukatuma yako kwangu uwe na amani kabisa.
Nina phd ya kutunza siri za watu.Hahaa kisa cha kuumbuliwa mi nataka,na venye niko kinene hivi,hiyo picha ikitupiwa humu jf yote lazima itetemeke kwa kishindo[emoji23] [emoji23] watakimbia watu humu,staki kabisa kutia aibu
Shogaa bora utume mwenyewe kuliko mtu atume yaaan utataman ardhi ipasukeHahaa kisa cha kuumbuliwa mi nataka,na venye niko kinene hivi,hiyo picha ikitupiwa humu jf yote lazima itetemeke kwa kishindo[emoji23] [emoji23] watakimbia watu humu,staki kabisa kutia aibu
Na ulikuwa unapigika haswaaa au sio.Kuna baby wangu alikuwa anapenda hilo neno eti njoo nikupige risasi .....
Nna pics za ex wangu. Lakn hata siku moja sjawah kufikiria kupost popote pale.Mmmmmh
ipo siku tu utayamwagaa ya kuyamwagaa
Sichamban tena na classless people ambao hawana maishaa nilichogunduaa nimewazidi dats y dear
Ndio maana hata nikiwa na pics zako siwez kuzipost maana ni ujinga.Ni ujingaa alafu ...na kutokujielewaa once ts done ts done ya nn kuaibishana kama sio ujingaa