Mpira umerudi kwa kipa and the queen is back!

Mpira umerudi kwa kipa and the queen is back!

Pole Mkuu wangu nionjeshe japo kidogo historia ya kifungo chako ???! Pliz Mkuu
Achana nayo yashapitaa ndugu yangu....coz yajayo ndo yanafurahisha zaidi bt ni watu walisababisha mpka nikapata ban
 
Ila ukikosea ukatuma yako kwangu uwe na amani kabisa.
Hahaa kisa cha kuumbuliwa mi nataka,na venye niko kinene hivi,hiyo picha ikitupiwa humu jf yote lazima itetemeke kwa kishindo[emoji23] [emoji23] watakimbia watu humu,staki kabisa kutia aibu
 
Hahaa kisa cha kuumbuliwa mi nataka,na venye niko kinene hivi,hiyo picha ikitupiwa humu jf yote lazima itetemeke kwa kishindo[emoji23] [emoji23] watakimbia watu humu,staki kabisa kutia aibu
Nina phd ya kutunza siri za watu.

Nakuhakikishia kutunza privacy yako.
 
Back
Top Bottom