Mpira umerudi kwa kipa and the queen is back!

Kwani huyu KK ana shoga?
The nimeuliza tu
Hahahaha watajijuaa wenyewe manake walikuwa kikosi wananishambuliaa sa how should i call them kama sio hivyo coz wanaume hawana tym ya kumshambuliaa mtu as a group bt wao walifanya hivyo means ni mashostiz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](jokin)
 
Mambembe pokea salamu za nturu dear [emoji7]
 
The List alisema wewe ni ERICK OTIENO.nitoe waswas nije PM
[emoji706]kwanza erick simjui naomba uangalie nimejiunga lini jf ,alafu pm yangu imejaa na sina ya muda wa kujibu mtu zaidi ya choosen one not wanaume suruali....
 
Hahahaha watajijuaa wenyewe manake walikuwa kikosi wananishambuliaa sa how should i call them kama sio hivyo coz wanaume hawana tym ya kumshambuliaa mtu as a group bt wao walifanya hivyo means ni mashostiz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](jokin)
Nimecheka sana ujue, na yeye akawa mpoleee
 
Nimecheka sana ujue, na yeye akawa mpoleee
Ataachaje sasa best sio kwa kuniandama kule alafu kuna mtu kanitonya walikuwa wanaambiana pm waje kunishambuliaaa nashukuru Mungu nilipigana mwenyewe ile vitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…