Mpira umerudi kwa kipa and the queen is back!

Hahahaha
Kwani wale si mlisha malizana? Sidhani kama yafaa uwe unachukulia kilakitu siraz its just jf. Just move on tuu. We karibu jiachie
You are who you are.
Nimefurahi umerudi.
Lol was just jokin ....im already mov on sinc dat day my dear.....thnk u kwa kufurahi piaa
 
Wape wape wape wape mambembe da queeen we missed you a lot sweetheart
 
Yaaan ww hayaaa bwanaaa miss u too

Ilaa jaman kapeace she is so real yaaan hanaga blah blah i miss u too mumy your one in a million nakupenda u just knw dat......♥️♥️♥️
Nilikutafuta kona zote huonekani kipenzi demiss kaolewa, jukwaani nashambuliwa peke yangu bora umerudi tuwanyooshe wanaume suruali wa humu love you sana sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mme ameshanipiga makufuru naimani sana kampany yako na Mambembe jamn tutakutna piem tu mamy

Loh nakonda mwenzio namiss mapovu balaaa
 
Mshana mfungulie huyu mtu tunamhitaji kiduchu jomoniiii
 
Uwiiiiiiii jomoni alafu kaoleeawa na mzee wa tunguli chaaaaaa jaman,wasikushughulishe hawa wanaume suruali im back yaan kwa sasa ni jino kwa jino haaachwi mtu
 
Yaan kwa mwandiko wako tu inaonekana una tako balaa,..kitu mnato
 
Hahahaaaa

Mikwara ya hatari..Extroverts mna mambo sana!

Sijui kwanini hamuwezi ishi bila makelele!

It is good though!
 
Uwiiiiiiii jomoni alafu kaoleeawa na mzee wa tunguli chaaaaaa jaman,wasikushughulishe hawa wanaume suruali im back yaan kwa sasa ni jino kwa jino haaachwi mtu
Yes yes mpk tuwanyooshe kiasi .kwamba wakiona ID zetu wajifungie ndani km wale wa sinza walivyoona chatu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mme ameshanipiga makufuru naimani sana kampany yako na Mambembe jamn tutakutna piem tu mamy

Loh nakonda mwenzio namiss mapovu balaaa
Mshana mfungulie huyu mtu tunamhitaji kiduchu jomoniiii
Uwiiii jaman mshana naombaa atuachiee shoga etu mwanamke hulka bibi ww tuvitu tudogodogo kama kuchamba kwa mwanamke sunaa bibi weee yann kukubaniaaa shosti ....ilaa usijali ndoaa tamu basi utakuwa unachamba kwa codes najuaa mshana hawez jua kama ni mchambo lol
 
ok.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…