kitororondo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 597
- 704
Nawasubiri walengwa wajitokeze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui nachojuaa nimewazid .....ndo maana wananifatiliaa
Ulikuwa unasamaje? Nilipitwaje?/labda ungekuwa unanizodoa sasa hiviAtaachaje sasa best sio kwa kuniandama kule alafu kuna mtu kanitonya walikuwa wanaambiana pm waje kunishambuliaaa nashukuru Mungu nilipigana mwenyewe ile vitaa
Hata badoo tunawaruhusuWahame instaaa
Maneno yake sio katiba.Baba angu alituambiaga tangu tukiwa wadogo dont trust anybody yaan hata yy alisema tusimuamini
Na huyu ni miongoni mwao ?nawafahamu wachache wapo classic na decent...wamo humu humu
Upo badoo mtoto mzuri ?Hata badoo tunawaruhusu