Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Leo wamepata majibu kwann fainali iwe mojaMechi mbili za fainali ni kituko.
Caf waachane na fainali mbili tufurahie mchezo wa soka
kwa mazingira ya africa fainali moja itapoteza mvuto, walijaribu wakashindwaMechi mbili za fainali ni kituko.
Caf waachane na fainali mbili tufurahie mchezo wa soka
Ifikie kipindi fainali iwe mojaUbora wa fainali huwa ni pale inapofanyika kwenye Mji au Nchi tofauti na ulipopazoea.
Nikupotezeana muda tuLeo wamepata majibu kwann fainali iwe moja
Kwani Wydad waliambiwa wasicheze kwasababu wapo ugenini? Sema sijaangalia mechi, sifahamu kilichotokea.Leo wamepata majibu kwann fainali iwe moja
Kuna ujinga ulifanywa na masandawana hadi ,infantino,colina wanatikisa vichwaKwani Wydad waliambiwa wasicheze kwasababu wapo ugenini? Sema sijaangalia mechi, sifahamu kilichotokea.
Ndivyo waarabu wanavyofanya kwao miaka nenda rudiKuna ujinga ulifanywa na masandawana hadi ,infantino,colina wanatikisa vichwa
Mbona hayo mambo ndo wydad huwa wanayafanya mechi zote wakiwa mbele kwa magoli.. labda huwafatilii wydad ni wapumbavu sana leo wamefanyiwakile ambacho hiwa wanakifanyaKuna ujinga ulifanywa na masandawana hadi ,infantino,colina wanatikisa vichwa
Ni wajinga sanaToka mwanzo waarabu walipoteza muda inafika muda jamaa anajifanya kaumia mpaka kitambaa kafungwa kumbe sio uongo tu
Kumbe,leo ilikua wanakumbushwa ujinga wao ? Hahahaha ,km ni hivyo safi sanaMbona hayo mambo ndo wydad huwa wanayafanya mechi zote wakiwa mbele kwa magoli.. labda huwafatilii wydad ni wapumbavu sana leo wamefanyiwakile ambacho hiwa wanakifanya
Club gani ulaya ilishatotwa faini kubwa KWA kupotoza muda uwanjani?Safi sana Mamelodi, Nimependa sana Walichofanya leo mamelodi haswa kwenye upande wa Kupoteza Muda,
maana Nimeangalia Fainali nyingi sana za Ulaya hakunaga ujinga wa kupoteza muda maan Ukifanya hivyo huwa klabu inatozwa Faini kubwa sana,
kitu ambacho kinafanya Nidhamu ya mchezo iwepo ila Hapa africa Haswa Waarabu wamekuwa na Tabia ya kupoteza muda hovyo na Kupata ubingwa ila leo mbinu yao imewageukia wenyewe,
naimani Rais wa Fifa kaona hili tatizo na naamini atachukua hatua Stahiki kwa kutunga Sheria kali ili huu Upuuzi wa Kuchelewesha muda na Fitna nyingnezo Ziishe.