Mpira wa Afrika ni mgumu na wa ajabu sana, usiposhinda nyumbani kwa mabao mengi imekula kwako

Tufikirie nje ya box guy's, sio kila kitu cha Europe tunakiiga,hii final ingefanyika Nairobi, Lagos au Dar ingeleta mashabiki wengi uwanjani?Europe inawezekana kutokana na usafiri kuwa rahisi na movements za raia kuwa rahisi, kuvuka tu kutoka Tanzania kwenda zambia, pamoja na kuwa ni OSBP inachukua masaa kibao, Africa bado sana
Umemaliza kila kitu, America kusini pia ni mbili
 
Club gani ulaya ilishatotwa faini kubwa KWA kupotoza muda uwanjani?

Fungua hiyo 👇

Attachments

  • IMG_20231113_003635_941.jpg
    IMG_20231113_003635_941.jpg
    74 KB · Views: 2
Mamelod amechukua ubingwa wa AFL leo kwa kumaliza shughuli nyumbani, naamini kabisa kama ngoma ingemalizwa kule Morocco basi bila shaka Wydad angekuwa bingwa, Africa iachane na mambo ya fainali kuwa mbili, vinginevyo mcheza kwao ataendelea kutunzwa.
Tumeshuhudia fainali moja ya HOVYOO...
 
Tufikirie nje ya box guy's, sio kila kitu cha Europe tunakiiga,hii final ingefanyika Nairobi, Lagos au Dar ingeleta mashabiki wengi uwanjani?Europe inawezekana kutokana na usafiri kuwa rahisi na movements za raia kuwa rahisi, kuvuka tu kutoka Tanzania kwenda zambia, pamoja na kuwa ni OSBP inachukua masaa kibao, Africa bado sana
Mkuu wangejaa tu... Maana ni bure.. hakukuwa na kiiingilio..
Alafu kwani mashabiki wa Nini!!?
 
Fungua hiyo 👇

Swali lilikuwa too general. Uwanjani nilikusudia wachezaji kwenye pitch. Kama ambavyo wachezaji Mamelod walijizungusha kama dkk 2 bila kuucheza mpira maana pale mwishoni . Tukio lile lina adhabu zake ulaya?
 
Kuna ujinga ulifanywa na masandawana hadi ,infantino,colina wanatikisa vichwa
Niliipenda maana mjinga kakutana na mpuuzi. Waarabu ndo mchezo wao. Dakika ya pili tu kipa katibiwa Kwa maumivu yasiyojulikana kayapataje, Masandawana wakafanya kituko cha kukumbukwa kwenye soka, Kadi 4 za njano za makusudi.
 
Tufikirie nje ya box guy's, sio kila kitu cha Europe tunakiiga,hii final ingefanyika Nairobi, Lagos au Dar ingeleta mashabiki wengi uwanjani?Europe inawezekana kutokana na usafiri kuwa rahisi na movements za raia kuwa rahisi, kuvuka tu kutoka Tanzania kwenda zambia, pamoja na kuwa ni OSBP inachukua masaa kibao, Africa bado sana
Vile vile kuna ishu ya kipato! Waafrica tulio wengi hatumudu gharama za kusafiri kwenda kushuhudia mechi ya fainali ya timu yetu pendwa

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mamelod amechukua ubingwa wa AFL leo kwa kumaliza shughuli nyumbani, naamini kabisa kama ngoma ingemalizwa kule Morocco basi bila shaka Wydad angekuwa bingwa, Africa iachane na mambo ya fainali kuwa mbili, vinginevyo mcheza kwao ataendelea kutunzwa.
Kabisa
 
nafikiri europe peke yake ndio wana fainali moja tu, amerika ya kusin, asia na afrika ni 2 (home&away), concacaf sijui
 
Swali lilikuwa too general. Uwanjani nilikusudia wachezaji kwenye pitch. Kama ambavyo wachezaji Mamelod walijizungusha kama dkk 2 bila kuucheza mpira maana pale mwishoni . Tukio lile lina adhabu zake ulaya?

Ndiyo Time wasting ni kosa kwa Europe we niambie miaka ya hivi karibuni, Katika mechi za Ulaya uliona wapi Wachezaji wakichelewesha makusudi muda kama Wanavyofanyaga Timu za Vilabu huku Africa ?
 
Back
Top Bottom