choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Umemaliza kila kitu, America kusini pia ni mbiliTufikirie nje ya box guy's, sio kila kitu cha Europe tunakiiga,hii final ingefanyika Nairobi, Lagos au Dar ingeleta mashabiki wengi uwanjani?Europe inawezekana kutokana na usafiri kuwa rahisi na movements za raia kuwa rahisi, kuvuka tu kutoka Tanzania kwenda zambia, pamoja na kuwa ni OSBP inachukua masaa kibao, Africa bado sana
Club gani ulaya ilishatotwa faini kubwa KWA kupotoza muda uwanjani?
Tumeshuhudia fainali moja ya HOVYOO...Mamelod amechukua ubingwa wa AFL leo kwa kumaliza shughuli nyumbani, naamini kabisa kama ngoma ingemalizwa kule Morocco basi bila shaka Wydad angekuwa bingwa, Africa iachane na mambo ya fainali kuwa mbili, vinginevyo mcheza kwao ataendelea kutunzwa.
Mkuu wangejaa tu... Maana ni bure.. hakukuwa na kiiingilio..Tufikirie nje ya box guy's, sio kila kitu cha Europe tunakiiga,hii final ingefanyika Nairobi, Lagos au Dar ingeleta mashabiki wengi uwanjani?Europe inawezekana kutokana na usafiri kuwa rahisi na movements za raia kuwa rahisi, kuvuka tu kutoka Tanzania kwenda zambia, pamoja na kuwa ni OSBP inachukua masaa kibao, Africa bado sana
Swali lilikuwa too general. Uwanjani nilikusudia wachezaji kwenye pitch. Kama ambavyo wachezaji Mamelod walijizungusha kama dkk 2 bila kuucheza mpira maana pale mwishoni . Tukio lile lina adhabu zake ulaya?Fungua hiyo 👇
Mourinho's Roma fined for time-wasting tactics by ball boys
Roma has been fined just over $10,000 by Serie A officials due to issues with the club's ball boys. According to the Italian top flight, the Roma ball boys deliberately slowed down play during a recent matchup with Monza. Jose Mourinho's club beat the White and Reds 1-0 thanks to a dramatic late...www.google.com
Naunga mkono hojaIfikie kipindi fainali iwe moja
Rudi kalale mkuuMkuu wangejaa tu... Maana ni bure.. hakukuwa na kiiingilio..
Alafu kwani mashabiki wa Nini!!?
Word....Mechi mbili za fainali ni kituko.
Caf waachane na fainali mbili tufurahie mchezo wa soka
Niliipenda maana mjinga kakutana na mpuuzi. Waarabu ndo mchezo wao. Dakika ya pili tu kipa katibiwa Kwa maumivu yasiyojulikana kayapataje, Masandawana wakafanya kituko cha kukumbukwa kwenye soka, Kadi 4 za njano za makusudi.Kuna ujinga ulifanywa na masandawana hadi ,infantino,colina wanatikisa vichwa
Hakika watu wanasahau tu. Mwaka juzi ilifanyika Nigeria mechi ikadoda hakuna mashabiki. Tatizo uchumi mashabiki hawawezi kusafiri. Simba tu hapo Zambia wameshindwa kwenda.kwa mazingira ya africa fainali moja itapoteza mvuto, walijaribu wakashindwa
We amka unawe uso.Rudi kalale mkuu
Vile vile kuna ishu ya kipato! Waafrica tulio wengi hatumudu gharama za kusafiri kwenda kushuhudia mechi ya fainali ya timu yetu pendwaTufikirie nje ya box guy's, sio kila kitu cha Europe tunakiiga,hii final ingefanyika Nairobi, Lagos au Dar ingeleta mashabiki wengi uwanjani?Europe inawezekana kutokana na usafiri kuwa rahisi na movements za raia kuwa rahisi, kuvuka tu kutoka Tanzania kwenda zambia, pamoja na kuwa ni OSBP inachukua masaa kibao, Africa bado sana
Ujinga huo huo walifanya sana Wydad hadi refa akaongeza dk 12 kipindi Cha kwanza mkuki kwa nguruwe kwa binadamu....Kuna ujinga ulifanywa na masandawana hadi ,infantino,colina wanatikisa vichwa
NilionaUjinga huo huo walifanya sana Wydad hadi refa akaongeza dk 12 kipindi Cha kwanza mkuki kwa nguruwe kwa binadamu....
Kimsingi Masandawana waliamua kuwakumbusha Caf upuuzi ambao wamekuwa wakiulea Kila kukicha Sasa ni wao wakatengeneze sheria au watulie washuhudie vituko kwenye Cafcl na cafccNiliona
KabisaMamelod amechukua ubingwa wa AFL leo kwa kumaliza shughuli nyumbani, naamini kabisa kama ngoma ingemalizwa kule Morocco basi bila shaka Wydad angekuwa bingwa, Africa iachane na mambo ya fainali kuwa mbili, vinginevyo mcheza kwao ataendelea kutunzwa.
Swali lilikuwa too general. Uwanjani nilikusudia wachezaji kwenye pitch. Kama ambavyo wachezaji Mamelod walijizungusha kama dkk 2 bila kuucheza mpira maana pale mwishoni . Tukio lile lina adhabu zake ulaya?