Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 2,217
- 4,280
Amekipata.View attachment 3288924
Hapa ni Peru, yasemekana kwenye Peru Cup refaree usipojilinda hatima yako ni hospitali ama kufa kabisa
mwanakulifind mwanakuliget😄Amekipata.
Wachezaji, viongozi wa timu, makocha, mashabiki wote vichaaHizi ndo mechi ninazozipenda sasa. Mechi dume haswaaa, acha hizi nyoro nyoro za siku hizi.
Nimekumbuka miaka ya 1990s naenda kuangalia mechi za ndondo pale Tandika Mabatini, Temeke Squad, au Mbagala Market. Unakuta refa anachezesha huku ana panga kiunoni au refa mjeda anayechezesha huku wenzake waliovaa kombat wanasubiri mpuuzi mmoja amzingue mwenzako (refa) wamuonyeshe kazi. 😆😂🤣
Na hii ndiyo furaha yangu.View attachment 3288924
Hapa ni Peru, yasemekana kwenye Peru Cup refaree usipojilinda hatima yako ni hospitali ama kufa kabisa
Hapo refa alikuwa ametoa red kwa mchezaji, mbeba vifaa wa timu akaona usitutanie kaokota chupa sema kakutana na refa nae chizi kama wa kwenye mieleka
Kibumbu tenaNa hii ndiyo furaha yangu.
Kibumbu kitachemka.
Yeah!Kibumbu tena
Ukimaanisha nini mkuu unaposema kibumbuYeah!
Ilikuwa ni hatari😄Safi kabisa huu ndio mpira og tuliocheza utotoni,magoli huku na huku mnaweka kandambili na mashati,mwisho wa mechi zinapigwa ngumi za kufa mtu.