Mpira wa bongo

Tyrex

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
2,373
Reaction score
5,100
Nilichogundua mpira wetu wakitanzania unachezwa zaidi kwenye mitandao, vijiweni, mezani na fitna nyingi sana kuliko hata wanjani, mpira umegeuka uadui mkubwa sana baina ya pande hizi huyu [emoji881] na huyu [emoji196] sijui hata tunakosea wap na kwa style hii hatutofika popote kimpira tutabaki humu humu ndani.
 
Unategemea nini unapomchukua convicted conman kuwa ndo "think tank" ya timu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…