Tyrex
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 2,373
- 5,100
Nilichogundua mpira wetu wakitanzania unachezwa zaidi kwenye mitandao, vijiweni, mezani na fitna nyingi sana kuliko hata wanjani, mpira umegeuka uadui mkubwa sana baina ya pande hizi huyu [emoji881] na huyu [emoji196] sijui hata tunakosea wap na kwa style hii hatutofika popote kimpira tutabaki humu humu ndani.