Mpira Wa Kikapu Tanzania

Mpira Wa Kikapu Tanzania

Ule mpira tanzania umeharibiwa taswira na watoto wa masaki obey yaani wtt wa mboga saba
Mi nilikuwa napenda sana basketi wakati nasoma
Nikirudi likizo nakosa chansi ya kucheza unaenda uwanjani watoto wa kushua wanakuja na ndiga zao na kocha anawapa kipaumbele kwasababu anapewa vihela vya bia
Basket ya bongo haiwezi kukua ukiona mwana katoboa kupitia basket na hatokei ila mitaa jua kapambanA sio kitoto
 
upo pande gani mkuu!?
 
Back
Top Bottom