Wanamichezo wa hapa jukwaani nimekaa nikafikiria maajabu ya mpira wa miguu kuelekea mechi za kimataifa za wababe wa Kariakoo, yaani Simba dhidi ya De agosto na ile ya Al hilal dhidi ya Yanga.
Watu wengi wanampa nafasi kubwa mnyama kutinga makundi, lakini wachambuzi wengi na wanazi wa mpira wanaamini Yanga huenda akatupwa nje mashindano ya Klabu Bingwa Afrika na kuelekea kunako Kombe la Shirikisho Afrika.
Lakini mpira una maajabu mengi sana, mara paap Simba nje, Yanga ndani au vyote kwa pamoja yaani Yanga na Simba nje.
TUWENI NA AKIBA YA MANENO!
Kuanzia saa 12 jioni hadi saa nne usiku leo nchi itazungumza lugha tofaut na itasimama, tunzeni huu uzi ikiwezekana nendeni mkachapishe muwe na nakala.
Narudia jioni, tunapoteana humu ndani.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app