Mpira wa miguu na maajabu yake

Mpira wa miguu na maajabu yake

macro

Senior Member
Joined
Feb 15, 2019
Posts
115
Reaction score
122
Wanamichezo wa hapa jukwaani nimekaa nikafikiria maajabu ya mpira wa miguu kuelekea mechi za kimataifa za wababe wa Kariakoo, yaani Simba dhidi ya De agosto na ile ya Al hilal dhidi ya Yanga.

Watu wengi wanampa nafasi kubwa mnyama kutinga makundi, lakini wachambuzi wengi na wanazi wa mpira wanaamini Yanga huenda akatupwa nje mashindano ya Klabu Bingwa Afrika na kuelekea kunako Kombe la Shirikisho Afrika.

Lakini mpira una maajabu mengi sana, mara paap Simba nje, Yanga ndani au vyote kwa pamoja yaani Yanga na Simba nje.

TUWENI NA AKIBA YA MANENO!

Kuanzia saa 12 jioni hadi saa nne usiku leo nchi itazungumza lugha tofaut na itasimama, tunzeni huu uzi ikiwezekana nendeni mkachapishe muwe na nakala.

Narudia jioni, tunapoteana humu ndani.



Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Wenzio wanasema hivi "de agosto ni Zalan waliopooza ni wabovu walishawai kipigwa sita na Namungo Simba itawafunga nje ndani".
[emoji115]kwa maneno hayo Simba ana nafasi kubwa ya kusonga mbele ila kwa wenzao Yanga wao watasonga ugali[emoji28]
 
Hahahaha kupata vichekesho kama hivi tupige namba ipi?
 
Wanasport wa hapa jukwaani nimekaa nikafikiria maajabu ya mpira wa miguu , kuelekea mechi za kimataifa za wababe wa kariakoo yaan Simba vs de agosto na Ile ya. Al hilal vs yanga

Watu wengi wanampa nafasi kubwa mnyama kutinga makundi lakin wachambuzi wengi na wanazi wa mpira wanaamini yanga huenda akatupwa nje mashindano ya kilabu bingwa Africa na kuelekea kunako kombe la shirikisho Africa

Lakin mpira una maajabu mengi Sana

Mara paap Simba out , yanga in au vyote kwa pamoja yaani yanga out na Simba out

TUWENI NA AKIBA YA MANENO

kuanzia saa 12 jion Hadi saa nne usiku Leo nchi itazungumza lugha tofaut na itasimama ,, TUNZENI HUU UZI IKIWEZEKANA NENDENI MKAPRINT MUWE NA HARD KOPI

Narudia jion tunapoteana humu ndani



Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Tatizo lenu Utopolo mnachezea mpira ndotoni na kwenye mawazo ndio maana hata uwanjani mabeki wenu wanakabia macho.

Najua mnaomba dua mbaya sana kwa Mnyama, ni hivi kila mtu ashughulike na changamoto zake. Hata Kipanga na Azam nazo ni team, atakaefuzu tutaungana nae kuipeperesha bendera ya nchi

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom