Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
- Thread starter
- #21
*Life is a long run game needs to be played strategically.*_💪🏿🔥Andiko zuri sana. Hii ni kwa watu ambao watching football ni zaidi ya kutizama tu. Yani unaibuka na burudani, na mafunzo juu yake.
Umesahau pia kuna goli la mkono wakati mwingine 😂 . Mwamba Maradona alifanya hivyo na kuisaidia Argentina, kabla Hamis Tambwe hajafanya hivyo mitaa ya twiga. Life is a long run game needs to be played strategically.
Inahitaji uvumilivu pia.