Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kuuliza,
Kwa goli la Baleke alilomfunga Makaka,Refa akalikataa na kumpa kadi ya njano.Je ni goli halali ama? Msaada plz
Ni goli halali 100% halina shida.Naomba kuuliza,
Kwa goli la Baleke alilomfunga Makaka,Refa akalikataa na kumpa kadi ya njano.Je ni goli halali ama? Msaada plz
Ni goli halali 100% halina shida.
Waamzi wamepuyanga
Watu mnawekewa mpaka clip ila mnakaza shingo tuKipa alidundisha mpira. LILE NI GOLI HALALI KABISA.
Hiyo clip wamedundisha mpira?Watu mnawekewa mpaka clip ila mnakaza shingo tu
Mpira kadundisha ukarudi mikononi, tafsiri ya sheria za fifa zinasema mpira bado utakua mikononi kwa kipa pale atakapouchia ili kuupiga mpaka ukifika chini, kabla hujarudi mikononi mwake inakua open play... Ukirudi mikononi kwake sheria Zina apply tena..... Sasa huelewi niniHiyo clip wamedundisha mpira?
Kwa hiyo magolikipa ambao huwa wanageuka nyuma kuona kama kuna mchezaji wa timu pinzani, huwa ni kukosa kujiamini? Maana kama ni kosa kumpora mpira kipa hata akiudundisha, kwa nini wageuke nyuma kuangalia usalama?Mpira kadundisha ukarudi mikononi, tafsiri ya sheria za fifa zinasema mpira bado utakua mikononi kwa kipa pale atakapouchia ili kuupiga mpaka ukifika chini, kabla hujarudi mikononi mwake inakua open play... Ukirudi mikononi kwake sheria Zina apply tena..... Sasa huelewi nini
Wewe jaribu kuwa muelewa .Kwa hiyo magolikipa ambao huwa wanageuka nyuma kuona kama kuna mchezaji wa timu pinzani, huwa ni kukosa kujiamini? Maana kama ni kosa kumpora mpira kipa hata akiudundisha, kwa nini wageuke nyuma kuangalia usalama?
Mpira kadundisha ukarudi mikononi, tafsiri ya sheria za fifa zinasema mpira bado utakua mikononi kwa kipa pale atakapouchia ili kuupiga mpaka ukifika chini, kabla hujarudi mikononi mwake inakua open play... Ukirudi mikononi kwake sheria Zina applyHiyo clip wamedundisha mpira?
Mpira ukifika chini inakua open play, lakini akirusha kuupiga kabla haujafika chini tafsiri ya fifa inasema inakua mikononi mwa kipa, hao wanaoangalia nyuma wanataka kuuweka chini, na ukifika chini inakua open playKwa hiyo magolikipa ambao huwa wanageuka nyuma kuona kama kuna mchezaji wa timu pinzani, huwa ni kukosa kujiamini? Maana kama ni kosa kumpora mpira kipa hata akiudundisha, kwa nini wageuke nyuma kuangalia usalama?
Hilo ni GOLI Halali mkuu.
Utata WA Hilo goli ni kutokana na Umakini WA Refaree.
Makaka aliudundisha Mpira chini kwa mikono akaudaka akataka kupiga.
Kama asingeudundisha lisingekuwa ni Goli, ila Makaka aliudundisha na Hatimaye ni goli halali kwa asilimia 100.
Alishautoa Mpira Mikononi mwake kwa Kuudundisha Chini
Ni goli 100%.