Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Simba na kagera mkuu ila sometimes burudani ni muhimu na siyo kazi kazi kila muda
Wazo kubwa sana, MECHI ZICHEZWE KUANZIA SAA MOJA JIONINimesikitika sana leo,nimekwenda kwenye workshop moja ya Chuma|Welding kufuatilia kazi niliyopa cha kushangaza nikaambia wahusika wamekwenda kutizama mechi ya Simba Vs Kagera ,so ni subiri baada ya dakika tisini watarudi ,kusonga kando ya hardware iliyopo karibu nikakuta zote mbili zimefungwa na wahusila wamekwenda kutizima mpira,kumbuka yalikua Majira ya Jioni mida ya saa kumi.
Hii kiuchumi ni mbaya mno , haijaka sawa kwa taifa linalopambana kutoka kwnye Umaskini
Maelezo Bila picha?HII BARABARA YA MWENDO KASI KUELEKEA MBAGALA MAREHEMU ANGKUWEPO KUNA MTU ANGEFUKUZWA KAZI
Saa 10( ni mda wa kula tunda kimasiara au kimkakati.)....Unaendaje kufuatilia kazi saa 10?
Unalijua pira biliani wewe ?Nimesikitika sana leo,nimekwenda kwenye workshop moja ya Chuma|Welding kufuatilia kazi niliyopa cha kushangaza nikaambia wahusika wamekwenda kutizama mechi ya Simba Vs Kagera ,so ni subiri baada ya dakika tisini watarudi ,kusonga kando ya hardware iliyopo karibu nikakuta zote mbili zimefungwa na wahusila wamekwenda kutizima mpira,kumbuka yalikua Majira ya Jioni mida ya saa kumi.
Hii kiuchumi ni mbaya mno , haijaka sawa kwa taifa linalopambana kutoka kwnye Umaskini
Kwanini hakumalizia kabla ya kuondoka? Tumeshawachoka kwa tabia zenu ya ku-undermine Mama Samia. SSH ndiyo Rais wa Jamhuri kwa sasa. Hutaki, kajinyonge!HII BARABARA YA MWENDO KASI KUELEKEA MBAGALA MAREHEMU ANGKUWEPO KUNA MTU ANGEFUKUZWA KAZI