Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Nimesikitika sana leo, nimekwenda kwenye workshop moja ya Chuma | Welding kufuatilia kazi niliyopa cha kushangaza nikaambia wahusika wamekwenda kutizama mechi ya Simba Vs Kagera ,so ni subiri baada ya dakika tisini watarudi.
Kusonga kando ya hardware iliyopo karibu nikakuta zote mbili zimefungwa na wahusila wamekwenda kutizima mpira, kumbuka yalikua Majira ya Jioni mida ya saa kumi.
Hii kiuchumi ni mbaya mno, haijakaa sawa kwa taifa linalopambana kutoka kwenye Umaskini.