Mpira wa Tanzania kila shabiki wa Yanga ni kocha

Sir robby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,396
Reaction score
4,080
Ni Tanzania tu Kila Shabiki hasa wa YANGA ni KOCHA, anapanga timu itakayoanza nani atoke nani apige kona nani kakosea kutoa Pasi ili mradi Mashabiki wanajua kuliko KOCHA wa TIMU.

Mashabiki wa YANGA punguzeni UJUAJI Mpira ni TAALUMA Unasomewa.
 
Huu nao ni ushabiki Sasa. Kwamba wa Simba hujawaona wanavyolaumu na kukosoa?
 
Bora mtuite wajuaji! Wale wengine wanaitwa mbumbumbu, na wanafurahia kweli.
 
Ni Tanzania tu Kila Shabiki hasa wa YANGA ni KOCHA, anapanga timu itakayoanza nani atoke nani apige kona nani kakosea kutoa Pasi ili mradi Mashabiki wanajua kuliko KOCHA wa TIMU.

Mashabiki wa YANGA punguzeni UJUAJI Mpira ni TAALUMA Unasomewa.
Uzuri wewe ni kolo, nyie Daby mlizofungwa si mlimlamu kocha kapanga kikosi dhaifu.
 
Nilitangaza dau kabla mechi hazijaaanza nilisema shabiki wa yanga mwenye imani yanga itashinda hata mechi moja kimataifa tuweke dau wakakimbia wote narudia tena yanga haishindi hta mechi moja kimataifa anayebisha tuweke hela sio stori vibeki vyao kama wanafunzi wa chekechea

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Hayo ni maoni yako na tunakufahamu kiwa wewe ni shabiki wa simba huna lolote
 
Nilitangaza dau kabla mechi hazijaaanza nilisema shabiki wa yanga mwenye imani yanga itashinda hata mechi moja kimataifa tuweke dau wakakimbia wote narudia tena yanga haishindi hta mechi moja kimataifa anayebisha tuweke hela sio stori vibeki vyao kama wanafunzi wa chekechea

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Huyu anayeandika hivi timu yake imecheza mechi na ikafungwa na bado anayo audacity ya kuisema Yanga namna hii. Ila sishangai hata kwa Club Africaine mlijiapiza ivyo ivyo ila kawaida ya (mbu)*³ huwa hachoki
Screenshot_20230213-183351_1676302500703.jpg
 
Weka dau acha ngonjera sasa simba unaifananisha na yanga kimataifa kweli.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Kitu pekee unashindwa kuelewa unachokifanya unaweza ukaweka mkeka wako halafu baada ya mechi tano zilizobaki kuisha uje hapa utuambie ulisema na imetokea kwa hiyo utakua umefaidika yawezekana mara 5 zaidi ya unavyojitapa hapa.

Zaidi naona unachotaka tutambiane kwenye hela
 
Na tukisemaga
'hapa kocha lazima amtoe Kisinda na Moloko' mara nyingi hutokea Nabi nae hufanya hivyo na kuwaingiza wale tulioona wanapaswa kuingia
Hivyo sisi si wajinga tunaelewa,shida ipo benchi la ufundi kirudia rudia makosa
 
Huu nao ni ushabiki Sasa. Kwamba wa Simba hujawaona wanavyolaumu na kukosoa?
Habari wakuu

Ningependa kutoa rai kwa kocha wetu Robertinho ikiwa chama, Saidoo, Sakho, Phiri, Baleke wako vizuri, basi ujuaji na ufundi uliopitiliza na kujaribu mifumo aweke pembeni kwanza.

Najua muda huu molari ya wachezaji ipo juu sana kuelekea game ya jumamosi yani kiufupi ni kwamba wachezaji game wanaitaka, hivyo ningependa aweke full mziki kipigwe/tuwakimbize kwa dk zote 90.

Akileta ujuaji wake sijui kibu anacheza direct, kyombo ana mikimbio mizuri matokeo yake dk ya 15 chama nje kibu ndani, hatujakaa vizuri dk 30 Saidoo nje Kapama ndani. Tunakula Hamsa kweupe hapo hapo lupaso.

Yani hawa wakina Bocco, Kibu, Kyombo na wengineo wasihusike kabisa na mchezo hata benchi wasikae maana shetani hana maana anaweza akakupitia ukajikuta umemuinua kibu achukue nafasi ya mtu mapema.

Ikiwezekana hapo benchi wakae hata bodi ya wajumbe ya wakurugenzi, yani tuwakimbize mwanzo mwisho.
 
Back
Top Bottom