Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu nao ni ushabiki Sasa. Kwamba wa Simba hujawaona wanavyolaumu na kukosoa?Ni Tanzania tu Kila Shabiki hasa wa YANGA ni KOCHA, anapanga timu itakayoanza nani atoke nani apige kona nani kakosea kutoa Pasi ili mradi Mashabiki wanajua kuliko KOCHA wa TIMU.
Mashabiki wa YANGA punguzeni UJUAJI Mpira ni TAALUMA Unasomewa.
Bora mtuite wajuaji! Wale wengine wanaitwa mbumbumbu, na wanafurahia kweli.Ni Tanzania tu Kila Shabiki hasa wa YANGA ni KOCHA, anapanga timu itakayoanza nani atoke nani apige kona nani kakosea kutoa Pasi ili mradi Mashabiki wanajua kuliko KOCHA wa TIMU.
Mashabiki wa YANGA punguzeni UJUAJI Mpira ni TAALUMA Unasomewa.
Uzuri wewe ni kolo, nyie Daby mlizofungwa si mlimlamu kocha kapanga kikosi dhaifu.Ni Tanzania tu Kila Shabiki hasa wa YANGA ni KOCHA, anapanga timu itakayoanza nani atoke nani apige kona nani kakosea kutoa Pasi ili mradi Mashabiki wanajua kuliko KOCHA wa TIMU.
Mashabiki wa YANGA punguzeni UJUAJI Mpira ni TAALUMA Unasomewa.
Huyu anayeandika hivi timu yake imecheza mechi na ikafungwa na bado anayo audacity ya kuisema Yanga namna hii. Ila sishangai hata kwa Club Africaine mlijiapiza ivyo ivyo ila kawaida ya (mbu)*³ huwa hachokiNilitangaza dau kabla mechi hazijaaanza nilisema shabiki wa yanga mwenye imani yanga itashinda hata mechi moja kimataifa tuweke dau wakakimbia wote narudia tena yanga haishindi hta mechi moja kimataifa anayebisha tuweke hela sio stori vibeki vyao kama wanafunzi wa chekechea
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Weka dau acha ngonjera sasa simba unaifananisha na yanga kimataifa kweli.Huyu anayeandika hivi timu yake imecheza mechi na ikafungwa na bado anayo audacity ya kuisema Yanga namna hii. Ila sishangai hata kwa Club Africaine mlijiapiza ivyo ivyo ila kawaida ya (mbu)*³ huwa hachokiView attachment 2516277
Kitu pekee unashindwa kuelewa unachokifanya unaweza ukaweka mkeka wako halafu baada ya mechi tano zilizobaki kuisha uje hapa utuambie ulisema na imetokea kwa hiyo utakua umefaidika yawezekana mara 5 zaidi ya unavyojitapa hapa.Weka dau acha ngonjera sasa simba unaifananisha na yanga kimataifa kweli.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Luc Eymael alisema nyie ni kima.mbwa na uneducated na mnakenua kuambiwa hivyo kwa vile hamna akili kweliBora mtuite wajuaji! Wale wengine wanaitwa mbumbumbu, na wanafurahia kweli.
Habari wakuuHuu nao ni ushabiki Sasa. Kwamba wa Simba hujawaona wanavyolaumu na kukosoa?