Mpira wa TZ bado saana

Hilo ndo soka letu haliwezi kuwa sawa na wa Ulaya


Sikutarajia tufikie Ulaya but kidogo hata Waafrica wenzetu
Ukitazama derby ya Al-Ahly na Zamalek....ni kiwango kikuubwa mno
sisi hata pasi tano tu shida
 
NAUNGA MKONO hoja, kinachoendelea mitaani ni shangilia ya kukomoana tu lakini soka halikuwepo kabisa...........utasikia fulani kacheza mpira mwingi ukitafakari mpira wenyewe huuoni kabisa...kwa kweli vurugu tupu walau Yanga walicheza kifundi kipindi cha kwanza cha pili wakapotea kabisa na wao SIMBA ndio usiseme mwanzo mwisho hawakua vizuri kabisa
 


Mimi sikumbuki kama kuna timu iliweza piga pasi sita mfululizo
kulikuwa na kugongana gongana tu...
halafu rafu nyingi mno hazikupewa kadi
 
Hata ukiangalua porno sana inafikua wakati wife unahisi si demu wa ukweli unahisi si mtamu wakati wenzako wanapata show isiyo na kifani!

Acheni kufafanisha mipira yetu na mipira yenu!muhimu yanga kwafwaa!
 
Yaani me nikimuona mtu anaumwa kisa kakosa kuangalia Simba na Yanga huwa namshangaa sana. Mechi nyingi nilizowahi kuziona huwa wanacheza mpira mbovu kiasi kwamba nimepoteza kabisa shauku ya kuwaona yaani bora hata ndondo cup
Hata, Barca na Madrid wakikutana 70% mpira ni wahovyo sana. Tatizo pressure ya upinzani.

Sema Yanga angeshinda pengine hii thread isingekuwepo. Nawaza tu.
 
Hata, Barca na Madrid wakikutana 70% mpira ni wahovyo sana. Tatizo pressure ya upinzani.

Sema Yanga angeshinda pengine hii thread isingekuwepo. Nawaza tu.

Mi ni mwanachama Simba SC
 
Mimi sikumbuki kama kuna timu iliweza piga pasi sita mfululizo
kulikuwa na kugongana gongana tu...
halafu rafu nyingi mno hazikupewa kadi



UKIONA pass nyingi aidha ni back pass ama square ambazo ukijitahidi kuangalia kama ni kuvuta timu walau Yanga walikua wanaonesha lakini mwisho wa siku pasi MKAA
 
Ukipata nafasi tazama mpira wa timu za Egypt
au South Africa au Moroco....
Hao wengine unaona mpira unachezwa-mimi naamini kwamba Tanzania katika michezo yote vilevile plus na hiyo football ni 0 minus- no wonder tunashindwa kupeleka players kucheza nje
 
ndo maana diamond kafuzu afcon kutumbuiza huku taifa sitazi ikishindwa kufuzu
 
Mpira wa Bongo ukiwa na kichefuchefu unaweza tapika mpaka nyongo. Uchafu mtupu!
 
Halafu ukisoma kwenye magazeti pendwa ya michezo utajiuliza hawa waandishi shida nini? Jana simba na yanga uwezo wa kumiliki mpira karibu kabisa na sifuri!
 
Yanga wamekusikia.
Wanabebwa na marefa toka kwenye vitengo vya ma..... yetu na maagizo toka kwa viongozi wa kisiasa.

Shame on them Simba hata wakifungwa ila siku zote inacheza kihaki
 
UKIONA pass nyingi aidha ni back pass ama square ambazo ukijitahidi kuangalia kama ni kuvuta timu walau Yanga walikua wanaonesha lakini mwisho wa siku pasi MKAA
Pole mkuu naona unajitahidi kueleza hisia zako juu ya ndala fc... Ule mpira yanga hawakupiga pasi nyingi kama simba. Wao walikuwa wanapiga mipira mirefu na kwakuwa haikufika kwa walengwa walionekana kama wanabutua tu usijipe upofu kisa ushabiki mkuu timu zote zilikuwa hovyo ila kusema yanga alimzidi simba pasi umedanganya kweupe
 
Daah aisee kuna wanazi na mashabiki...
 
laiti ungalinijua mkuu, kuna majukwa ya hisia na majukwaa ya uhalisia
 
Hili la kusema nimedanganya kweupe nadhani jitoe kwanza BORITI, maana yake hata zile takwimu unajitia upofu sababu ya kushinda mechi, hayo mengine yote nasema tu kwamba tujifunze kuweka akiba ya maneno ila kwa taarifa yako mm ni SIMBA DAMU na wakongwe humu wanalijua hilo
 
ndio maana kunakua na ubao wa tathmini wakati wa mapumziko na baada ya mechi ambao pia una maana nyingi sana..............kama uliangalia tathmini ya kipindi cha kwanza waka hutobisha tena ila nakubaliana na wewe kwamba kiujumla timu zote zilikua hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…