Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAUNGA MKONO hoja, kinachoendelea mitaani ni shangilia ya kukomoana tu lakini soka halikuwepo kabisa...........utasikia fulani kacheza mpira mwingi ukitafakari mpira wenyewe huuni kabisa...kwa kweli vurugu tupu walau Yanga walicheza kifundi kipindincha kwanza cha pili wakapotea kabisa na wao SIMBA ndio usisem mwanzo mwisho hawakua vizuri kabisa
Hata ukiangalua porno sana inafikua wakati wife unahisi si demu wa ukweli unahisi si mtamu wakati wenzako wanapata show isiyo na kifani!Mimi bahati mbaya nikiwa Tanzania nilikuwa siujuwi mpira kabisa-ikatokea bahati nikaja kuujua nikiwa nje. It happened I was in Tanzania nikaenda stadia kutazama Yanga na Simba-to be frank I was more then disappointed sikutegemea standards to be that low-as far as I am concerned Tanzania hatuchezi mpira we just run around
Hata, Barca na Madrid wakikutana 70% mpira ni wahovyo sana. Tatizo pressure ya upinzani.Yaani me nikimuona mtu anaumwa kisa kakosa kuangalia Simba na Yanga huwa namshangaa sana. Mechi nyingi nilizowahi kuziona huwa wanacheza mpira mbovu kiasi kwamba nimepoteza kabisa shauku ya kuwaona yaani bora hata ndondo cup
Mimi sikumbuki kama kuna timu iliweza piga pasi sita mfululizo
kulikuwa na kugongana gongana tu...
halafu rafu nyingi mno hazikupewa kadi
Hao wengine unaona mpira unachezwa-mimi naamini kwamba Tanzania katika michezo yote vilevile plus na hiyo football ni 0 minus- no wonder tunashindwa kupeleka players kucheza njeUkipata nafasi tazama mpira wa timu za Egypt
au South Africa au Moroco....
Pole mkuu naona unajitahidi kueleza hisia zako juu ya ndala fc... Ule mpira yanga hawakupiga pasi nyingi kama simba. Wao walikuwa wanapiga mipira mirefu na kwakuwa haikufika kwa walengwa walionekana kama wanabutua tu usijipe upofu kisa ushabiki mkuu timu zote zilikuwa hovyo ila kusema yanga alimzidi simba pasi umedanganya kweupeUKIONA pass nyingi aidha ni back pass ama square ambazo ukijitahidi kuangalia kama ni kuvuta timu walau Yanga walikua wanaonesha lakini mwisho wa siku pasi MKAA
Daah aisee kuna wanazi na mashabiki...NAUNGA MKONO hoja, kinachoendelea mitaani ni shangilia ya kukomoana tu lakini soka halikuwepo kabisa...........utasikia fulani kacheza mpira mwingi ukitafakari mpira wenyewe huuni kabisa...kwa kweli vurugu tupu walau Yanga walicheza kifundi kipindincha kwanza cha pili wakapotea kabisa na wao SIMBA ndio usisem mwanzo mwisho hawakua vizuri kabisa
laiti ungalinijua mkuu, kuna majukwa ya hisia na majukwaa ya uhalisiaPole mkuu naona unajitahidi kueleza hisia zako juu ya ndala fc... Ule mpira yanga hawakupiga pasi nyingi kama simba. Wao walikuwa wanapiga mipira mirefu na kwakuwa haikufika kwa walengwa walionekana kama wanabutua tu usijipe upofu kisa ushabiki mkuu timu zote zilikuwa hovyo ila kusema yanga alimzidi simba pasi umedanganya kweupe
Hili la kusema nimedanganya kweupe nadhani jitoe kwanza BORITI, maana yake hata zile takwimu unajitia upofu sababu ya kushinda mechi, hayo mengine yote nasema tu kwamba tujifunze kuweka akiba ya maneno ila kwa taarifa yako mm ni SIMBA DAMU na wakongwe humu wanalijua hiloPole mkuu naona unajitahidi kueleza hisia zako juu ya ndala fc... Ule mpira yanga hawakupiga pasi nyingi kama simba. Wao walikuwa wanapiga mipira mirefu na kwakuwa haikufika kwa walengwa walionekana kama wanabutua tu usijipe upofu kisa ushabiki mkuu timu zote zilikuwa hovyo ila kusema yanga alimzidi simba pasi umedanganya kweupe
ndio maana kunakua na ubao wa tathmini wakati wa mapumziko na baada ya mechi ambao pia una maana nyingi sana..............kama uliangalia tathmini ya kipindi cha kwanza waka hutobisha tena ila nakubaliana na wewe kwamba kiujumla timu zote zilikua hovyoPole mkuu naona unajitahidi kueleza hisia zako juu ya ndala fc... Ule mpira yanga hawakupiga pasi nyingi kama simba. Wao walikuwa wanapiga mipira mirefu na kwakuwa haikufika kwa walengwa walionekana kama wanabutua tu usijipe upofu kisa ushabiki mkuu timu zote zilikuwa hovyo ila kusema yanga alimzidi simba pasi umedanganya kweupe