Ulishawahi kuona watu elfu sitini wakiwa barabarani?Watu walio taifa ni wengi na si wote wataingia, mwisho lazima mabomu yatatumika
Utaratibu mbovu mkuuNasikia tayari kuna mkanyagano..wamevunja geti!
Aibu kubwa sanaKinachoendelea taifa ni Aibu, hapa Yanga tumefeli kusimamia kuhusu hizi tiketi za bure.
Ninachokiona hapa Azam TV watu wamevunja mageti wanakanyagana wanaingia bure.
Utaratubu mbovu sana
Bure imeondoka na maisha ya mtu mmoja, na 30 ni majeruhi hadi sasa.Tatizo ni hizo tiketi za bure
Wangeacha watu wanunue tiketi hata kama wangeuza elfu 20