Mpira wenu na Wanasiasa

Mpira wenu na Wanasiasa

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70,791
Reaction score
98,334
Siasa kuingizwa kwenye mpira, mpira huharibika.
Sidhani kama Yanga ingeshindwa jaza uwanja.

Wanasiasa wamechukua point, mashabiki wanateseka kwa kuuziwa tiketi kwa 15000/

Watu walio taifa ni wengi na si wote wataingia, mwisho lazima mabomu yatatumika
 
Kinachoendelea taifa ni Aibu, hapa Yanga tumefeli kusimamia kuhusu hizi tiketi za bure.

Ninachokiona hapa Azam TV watu wamevunja mageti wanakanyagana wanaingia bure.

Utaratubu mbovu sana
 
Nimuombe raisi wetu mpendwa asijiingize kwenye mpira huu wa vilabu.Ajikite zaidi kwenye timu ya taifa.Anachofanya unaweza usione madharayake sasa hivi lakini huko mbele unaweza kutafuta chanzo cha yatakayokuwayametokea na tusikumbuke chanzo chake.
 
Wamesababisha vifo na majeruhi

Mpira mtu anaenda peleka Tshirt na Mabango yake
 
Back
Top Bottom