Mpira wetu wa Tanzania hauwezi kupiga hatua mbele kama kipaumbele chetu ni Imani za kishirikina

Yes niutamaduni wetu hujalazimishwa kuufata na hii ndio Simba ambayo ni Miongoni mwa club 10 bora barani Afrika ikiwa na fasi ya 9 kama vipi unakunywa sumu tu
 
Yes niutamaduni wetu hujalazimishwa kuufata na hii ndio Simba ambayo ni Miongoni mwa club 10 bora barani Afrika ikiwa na fasi ya 9 kama vipi unakunywa sumu tu
Jenga hoja kwa kukataa au kuukubali siyo kuleta ushabiki maandazi
 
Yaani huyu fuatilia maandiko karibia yote yahusuyo michezo, yeye na Simba tu! Timu yake pendwa ilipokuwa inapigwa faini kwa kuvunja milango ili waingie uwanjani, haoni!
Asante kwa kunikumbusha Hilo Ila tujikite kwenye maada na ushauri tuache Imani za kishirikina ili mpira wetu usonge mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…