NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #41
Lengo ni kuleta mitazamo chanya/mabadiliko katika hii tasnia yetu ya mpira watu maridhawa kabisa.Ila jamaa unajitahidi sana kuanzisha nyuzi aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lengo ni kuleta mitazamo chanya/mabadiliko katika hii tasnia yetu ya mpira watu maridhawa kabisa.Ila jamaa unajitahidi sana kuanzisha nyuzi aisee
Watakuja kutukana matusi /kutoa povu na kejeri bila yakutafakari hiki nilichokizungumza kwa kina.Ndo utofauti wao na wetu mkuu
Rage hakukosea kabisa kuwaita mbumbumbuLoser hawezi kuelewa mpaka uwe unamuelekeza huku unampigapiga kichwani na rungu.
Hiyo ni hoja mulua kabsa sema ubongo mdogo wa uto hauwezi elewa hiyo hojaJenga hoja kwa kukataa au kuukubali siyo kuleta ushabiki maandazi
Kabsa hawa loser vichwa ni vigum mno kama mawe ya mwanzaLoser hawezi kuelewa mpaka uwe unamuelekeza huku unampigapiga kichwani na rungu.
Hata mimi najiuliza yule aliyewaita manyani au utopolo,aliwaza nini?😂Rage hakukosea kabisa kuwaita mbumbumbu
Huna hoja Bali unacheka cheka tu.Hata mimi najiuliza yule aliyewaita manyani au utopolo,aliwaza nini?[emoji23]
Kilichokuudhi ni kipi?Kucheka au hoja?Usitarajie kila muda niserereke na unachokitaka.Nitakuwa situmii akili vizuri.Huna hoja Bali unacheka cheka tu.
Kwani una akili wewe.Kilichokuudhi ni kipi?Kucheka au hoja?Usitarajie kila muda niserereke na unachokitaka.Nitakuwa situmii akili vizuri.
The last time I had had a check-up,insanity was my palsy!Kwani una akili wewe.
Huna hoja kaaa kimya.Hata mimi najiuliza yule aliyewaita manyani au utopolo,aliwaza nini?[emoji23]
Nikae kimya kwani naongea?Unapoleta jambo usije na majibu yako kichwani.Hapa siyo kijiweni kwenu wanapokushangiliaga utopolo wako.Tulia wewe!Huna hoja kaaa kimya.
@NALIA NGWENA the great thinker najiamini kabisa kwa kile ninachozungumza/ninachokiandika hapa kwenye jukwaa popoma/mbumbumbu Kama wewe hunisumbui.Nikae kimya kwani naongea?Unapoleta jambo usije na majibu yako kichwani.Hapa siyo kijiweni kwenu wanapokushangiliaga utopolo wako.Tulia wewe!
Wewe ndiyo mkebe kweli.Kwa uandishi wako wa JF ambao unapewa hadi muda wa kufikiria na kuuliza majirani ndiyo ujiite GT?Unaumwa magoti wewe!@NALIA NGWENA the great thinker najiamini kabisa kwa kile ninachozungumza/ninachokiandika hapa kwenye jukwaa popoma/mbumbumbu Kama wewe hunisumbui.
Kwa hiyo unataka tuchatiWewe ndiyo mkebe kweli.Kwa uandishi wako wa JF ambao unapewa hadi muda wa kufikiria na kuuliza majirani ndiyo ujiite GT?Unaumwa magoti wewe!
Unataka tuchati tujibishane muda wote Kama mpenzi wangu??Wewe ndiyo mkebe kweli.Kwa uandishi wako wa JF ambao unapewa hadi muda wa kufikiria na kuuliza majirani ndiyo ujiite GT?Unaumwa magoti wewe!