MPISHI ANATAFUTA KAZI

MPISHI ANATAFUTA KAZI

GOKILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
632
Reaction score
438
Mpishi mzoefu na aliebobea katika mapishi ya aina mbalimbali anahitaji kazi.Iwe ajira ya kudumu au part time;nyumbani au hotel/mgahawani.Pia nafundisha wale wanaotaka kujifunza mapishi.
Wasiliana nami 0776727788 AU 0787823817.
 
Hujasema upo wapi japo hyo namba inaonyesha kama ya visiwani
 
Acha dharau kijana,,,hiyo buku 7 unayolipwa lumumba isikufanye uone umepatia maisha,,,,,@cc bashite...
We babu mi ninalipwa vizuri buku 7 si ya nyinyi wapishi wa mabanda ya chips
 
Babu umezingua achia watoto wako we mzee unabana nafasi tuu
 
Back
Top Bottom