Mpishi wa Mbuzi Choma anaitajika-Bunju

Mpishi wa Mbuzi Choma anaitajika-Bunju

Mabala21

Senior Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
139
Reaction score
89
Natafuta Chef mwenye uzoefu mkubwa waapishi mbalimbali ya mbuzi, kuanzia choma, foil mpaka supu.

Kama ni eneo lako naomba nitumie SMS kwa 0759 819 819.

NB: Kituo cha kazi ni Bunju B na malipo ni maelewano.

Ahsante
 
Dah... Bunju B bar gani nije nikuunge mkono kwenye maswala ya unywaji wa K Vant?
 
sasa si ungeandika na jina la kiota kipya mjinii ili wadau wakuje kula mbuzi

ama
 
Back
Top Bottom