The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Kuelekea siku ya Mwanamke Dunia itayoadhimisha Marchi 8 mwaka huu Mkoani Arusha, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amezindua Msimu mpya wa Kampeni ya Mwanamke Fundi 2025.
Mpogolo amezimdua kampeni hiyo ambapo kwa mwaka huu wilaya yake pia itakwenda kuwa miongoni mwa Wilaya 4 ambazo zitampata mkali wa Futari Jikoni na Nishati Safi.
Mpogolo amezimdua kampeni hiyo ambapo kwa mwaka huu wilaya yake pia itakwenda kuwa miongoni mwa Wilaya 4 ambazo zitampata mkali wa Futari Jikoni na Nishati Safi.