Wandugu wenye uchungu na "nji" hii...yaani mambo yamekuwa mengi sana hapa mjini ila nimekuwa nikisoma sana daily ma-updates yanayotumwa straight kwenye e-mail yangu lakini mchango wangu umekuwa hafifu sana.
Reminder ya Admin hivi karibuni imenishtua kidogo na nimeamua kuanza kufanya kazi kuweka ma-contribution yaani haitoshi tu kuwa member nafikiri inatupasa kuwa Proactive...ama sio?
Tuko pamoja...tegemea mchango mzito toka kwa kija wa kipogoro mjukuu wa ................... (mzee wa BOT).............ila mimi si mzee wa nyekundu jamani!
mwana mpotevu karibu nyumbani tena.na kuita mwana mpotevu kwa sababu uliondoka nyumbani bila kuaga,na ukawa huna tabia ya kujakusalimia ndugu zako,na kujua tunaendelea je hadi umepokea vitisho ktoka kwa Dingi.karibu sana mjukuu wa ********