MPOGORO in a full Effect Mood Now!

MPOGORO in a full Effect Mood Now!

Mpogoro

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2008
Posts
387
Reaction score
58
Wandugu wenye uchungu na "nji" hii...yaani mambo yamekuwa mengi sana hapa mjini ila nimekuwa nikisoma sana daily ma-updates yanayotumwa straight kwenye e-mail yangu lakini mchango wangu umekuwa hafifu sana.

Reminder ya Admin hivi karibuni imenishtua kidogo na nimeamua kuanza kufanya kazi kuweka ma-contribution yaani haitoshi tu kuwa member nafikiri inatupasa kuwa Proactive...ama sio?

Tuko pamoja...tegemea mchango mzito toka kwa kija wa kipogoro mjukuu wa ................... (mzee wa BOT).............ila mimi si mzee wa nyekundu jamani!
 
Ha!ha!ha!ha!....karibu sana mjukuu wa mzee wa Mahenge......!
 
Karibu sana ndani ya JF. Where We Dare to Talk Openly.
 
mwana mpotevu karibu nyumbani tena.na kuita mwana mpotevu kwa sababu uliondoka nyumbani bila kuaga,na ukawa huna tabia ya kujakusalimia ndugu zako,na kujua tunaendelea je hadi umepokea vitisho ktoka kwa Dingi.karibu sana mjukuu wa ********
 
Back
Top Bottom