Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila mpoki naye mkongwe miaka 17 kwenye gameMchekeshaji wangu wa kipindi chote MZEE MAJUTO , masikini Mungu ampe ahueni.
na mahousegirlHatuna comedian kwa kweli
Sijui ni kutokuwa wabunifu
Nikimwangalia Churchill naona hawa wa kwetu wanachekesha watoto tena wa kindergarten
Mkuu hicho ni kiswahili gani "wa kipindi chote" acha kuongea kiingereza kwa kiswahili.Mchekeshaji wangu wa kipindi chote MZEE MAJUTO , masikini Mungu ampe ahueni.
Siyo kwamba 17 inazidi mkuu!?ila mpoki naye mkongwe miaka 17 kwenye game
hahahahahaha! hatareeeeSiyo kwamba 17 inazidi mkuu!?
bora za huyu kuliko masanjaMwambieni atafute kazi ya maana, hatuchekeshwi na comedy zake.
Bora nimepata mwenzang, ni ujinga WA hali ya juuuuuuiHii sio comedy ni ufanyaji ujinga