Mpoki aishiwa vya kuchekesha mpaka ajirekodi na Mdoli kitandani

Mpoki aishiwa vya kuchekesha mpaka ajirekodi na Mdoli kitandani

MumbaZ

Senior Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
133
Reaction score
124
mchekeshaji maharufu aitwaye mpoki azua baraa kwa video aliopost kwenye account yake akiwa kitandani na mdoli.
 
Mwambieni atafute kazi ya maana, hatuchekeshwi na comedy zake.
 
Muda ukifika, Ni lazima uutii, Jamaa hawa wamefanya comedy kwa muda mrefu sana, Hivyo hawana budi kuutii umri wao.
 
Hapa mbona good comedy alimaanisha ayajenge mawazo yenu kuwa in mfululizo was akina nandy
 
Hata kujirekodi na mwanasesere ni sehemu ya comedy pia, Sema tu jamaa hawa umri umetupa mkono, na majukumu hayawaachi nyuma.
 
Back
Top Bottom