Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha hahaMkuu ulivyoiweka hii habari, kana kwamba Mpoki ni kakakuona or abnormal creature!
Yani nahisi kunakama kakakuona vile,duh
Dunia ni mambo. Nolidhani Mpoki ni Kanumba.Tehe te te te tehe, AMA kweli duniani kuna mambo!
kama kakakuona vile,duh
Jamani huu jf kuna watu wanajua kuzuga!.....kwa hiyo wewe unataka kuniambia ukimuona moki hutageuka japo kidogo?duuuh noma kweli mshkaji wangu,ila ukitaka kujua msanii unathaminika vp nenda sehemu kama hizo za bushmen kama Tandahimba,Liwale,Tunduru,Ngara,Namtumbo,Bariadi,Magu,Mbozi,n.k.Tukiwa hapa Dar hao wasanii tunawachukulia poa,ila huko bush msanii akienda ni kama Mungumtu.Nimeshakaa sehemu za ajabuajabu kama hizo najua jinsi gani watu wanavyowachukulia hawa wasanii wa Dar,ni zaidi ya hapa Dar tunavyowashobokea wakina Rickross wakija Bongo.So tusimshangae mleta post,inaonyesha ni kitu ambacho hakutegemea maishani mwake kukutana na supastaa kama Mpoki