Mpoki Aonekana wilayan Magu mkoan Mwanza

Magu magumashi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hii thread na comments zake zimenichekesha sana yani sana.
Jf nimeamini ni makutano ya watu sampuli mbalimbali zaidi ya stand ya mwenge
 
Mmejaa kwenye tax kumuona mpoki.. report kapata hadi mkuu wa wilaya.. Hehehehe
 
Asante mleta uzi.... Nmecheka sana hizo comments za wadau... Jf hamna stress kbs....
 
duuuh noma kweli mshkaji wangu,ila ukitaka kujua msanii unathaminika vp nenda sehemu kama hizo za bushmen kama Tandahimba,Liwale,Tunduru,Ngara,Namtumbo,Bariadi,Magu,Mbozi,n.k.Tukiwa hapa Dar hao wasanii tunawachukulia poa,ila huko bush msanii akienda ni kama Mungumtu.Nimeshakaa sehemu za ajabuajabu kama hizo najua jinsi gani watu wanavyowachukulia hawa wasanii wa Dar,ni zaidi ya hapa Dar tunavyowashobokea wakina Rickross wakija Bongo.So tusimshangae mleta post,inaonyesha ni kitu ambacho hakutegemea maishani mwake kukutana na supastaa kama Mpoki
 
Siyo siri nimechekaje haya mashikoro mageni.
 
Au unamaana nyingine ila umeshindwa kuwasilisha vizuri?
 
Jamani huu jf kuna watu wanajua kuzuga!.....kwa hiyo wewe unataka kuniambia ukimuona moki hutageuka japo kidogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…