Mpoki azindua nyimbo yake mpya iitwayo "Mademu"

Mpoki azindua nyimbo yake mpya iitwayo "Mademu"

Michael Amon

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
8,768
Reaction score
3,622
Msanii wa toka kundi la vichekesho la Original Komedi, Mpoki amedondosha pini lake jipya liitwalo 'Mademu'.

Wimbo huo ambao unazungumzia tabia za mademu tofauti tofauti kutoakana na sehemu wanazokaa katika siku yake ya kwanza tu umeonekana kuwashika ile kinoma wapenzi wa muziki wa Bongo flava kutokana na vituko vinavyoongelewa na msanii huyu ndani ya wimbo huo.

Nisikupotezee muda...sikulipi wala hunilipi...wewe unacheka mimi naingiza hela...embu usikilize mwenyewe.

[video=youtube_share;77BIJtDHinE]http://youtu.be/77BIJtDHinE[/video]
 
Young Master hujalala?mziki mzuri ila Mpoki hajui kuimba lol angemuachia barnaba wimbo wote lol:wacko:
 
Last edited by a moderator:
ja ja ja ja ja ja mpoki ni kituko aisee
 
wimbo mzuri kwasababu ya misemo ama? nafkiri kaamua kuja na stail ya mjomba ila sasa huyu mbona hana utamu ule wa mjomba?
 
wimbo mzuri kwasababu ya misemo ama? nafkiri kaamua kuja na stail ya mjomba ila sasa huyu mbona hana utamu ule wa mjomba?

Aaaahhh!!! gfsonwin...umesahau kuwa kitu orijino hata siku moja hakiwezi kupitwa na kitu feki?
 
Last edited by a moderator:
Dah kweli jama ni og yan ni balaa pin swaf sana @ati dah
big up kwa be pari...
 
kwa muonekano wake ni kuchekesha peke yake ndo kunamfaa mpoki!mtu mweusi na mwili kama kiroba bana!
 
loooh huko kuongea hata mi maweza!! haimbi huyo!! abda anabwabwaja!! Young_master umeupenda enhhe!??
 
Biashara ya nyanya haikamiliki bila tenga!
 
Back
Top Bottom