Kavirondo
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 751
- 1,605
Tafsiri yako usilazimishe iwe sheria..Katika mambo ya soka, mganga ni wale wa tunguli.
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafsiri yako usilazimishe iwe sheria..Katika mambo ya soka, mganga ni wale wa tunguli.
Pale hakuna wa kuziba, jamaa wamejitokesa ila hakukuwa na wa kusherehesha upumbavu mtupuPengo la Haji limeonekana
Hapo kiukweli kazingua, hata Kama ndo ushereheshaji lazima kidogo upime yakuzungumza mbele ya kadamnasiwimbo wa tz unaimba huku umesimama wkt wa congo unaimba huku unakata viuno.
Tatizo bongo mtu akiwa mropokaji anaitwa comedian.. mpoki sio comedianUkute mganga mwenyewe ni matola. Yani mpoki kama hawajamlipa basi watamkata ujira wake wa leo. Amezingua mno.
Watu Wana ongea kikingo wakizungumza ya maana jamaa linaongea utumbo mara kuzaa kunguru na ubwege mwingiBora wangemkodi hata Masau Bwire.. nimeshangaa Mpoki anavyo toa ukalimani wa uongo /utani kwenye Jambo serious
Yule sio mshehereshaji ni mropokaji..Hapo kiukweli kazingua, hata Kama ndo ushereheshaji lazima kidogo upime yakuzungumza mbele ya kadamnasi
Wakati pale hadi diplomats mbalimbali, waziri etcBora wangemkodi hata Masau Bwire.. nimeshangaa Mpoki anavyo toa ukalimani wa uongo /utani kwenye Jambo serious
Hata mi nimemshangaa huyu jamaa.Sasa kila tukio utakuwa unalianzishia uzi, si ndio usukule wenyewe huo! Kule Nigeria Yanga wanapata bao la pili, hongereni!
Pengo lazima liwepo..hata wewe ukiondokaPengo la Haji limeonekana
Jifunze kuelewa kuliko ubishi
Kapumbu ndio anajua kushereheshaPale hakuna wa kuziba, jamaa wamejitokesa ila hakukuwa na wa kusherehesha upumbavu mtupu
Mc kapumbu,na mc wapopo wanaijaMpoki
Mwijaku
Prof J
Ongezea MC mwingine uliemouna pale Taifa
Simba inapaswa kuangalia sana watu inaowapa mic , wanatuharibiaUkute mganga mwenyewe ni matola. Yani mpoki kama hawajamlipa basi watamkata ujira wake wa leo. Amezingua mno.