Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 5,710 Reaction score 8,579 Sep 19, 2021 #41 LIKUD said: Ameyatamka hayo leo wakati alikilitambulisha benchi la ufundi la Simba.. Click to expand... Dah jamaa anatafuta kiki kweny Simba day
LIKUD said: Ameyatamka hayo leo wakati alikilitambulisha benchi la ufundi la Simba.. Click to expand... Dah jamaa anatafuta kiki kweny Simba day
M Mtanzanias JF-Expert Member Joined Jul 30, 2021 Posts 1,747 Reaction score 3,725 Sep 19, 2021 #42 Hakika manara amewalevya sana watu, Leo nimeona ma mc karibia 5, wote wanasherehesha na bado awakuweza kumfikia bughati
Hakika manara amewalevya sana watu, Leo nimeona ma mc karibia 5, wote wanasherehesha na bado awakuweza kumfikia bughati
Nyonzo bin mvule JF-Expert Member Joined Sep 19, 2020 Posts 2,428 Reaction score 6,929 Sep 19, 2021 #43 Mtanzanias said: Hakika manara amewalevya sana watu, Leo nimeona ma mc karibia 5, wote wanasherehesha na bado awakuweza kumfikia bughati Click to expand... Yani simba iyumbe kisa mcπππππ Uto kweli mmekosa hoja,, mi nikajua utasema pengo la manara leo limeonekana beki zimepwaya kumbe inshu ni mcπ€£π€£π€£π€£
Mtanzanias said: Hakika manara amewalevya sana watu, Leo nimeona ma mc karibia 5, wote wanasherehesha na bado awakuweza kumfikia bughati Click to expand... Yani simba iyumbe kisa mcπππππ Uto kweli mmekosa hoja,, mi nikajua utasema pengo la manara leo limeonekana beki zimepwaya kumbe inshu ni mcπ€£π€£π€£π€£
MLA PANYA SWANGA JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 5,184 Reaction score 5,435 Sep 21, 2021 #44 Kuna waganga na wazungu
MLA PANYA SWANGA JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 5,184 Reaction score 5,435 Sep 21, 2021 #45 LIKUD said: Mwamba kazingua Click to expand... Yupo sawa ni msanii mchekeshaji ulitegemea nini na kongo mziki ndiyo kila kitu.
LIKUD said: Mwamba kazingua Click to expand... Yupo sawa ni msanii mchekeshaji ulitegemea nini na kongo mziki ndiyo kila kitu.