Mpoki ndio mchekeshaji bora wa stand up comedy kwa Tanzania

Kuna watu huwa wanacheka hata unajiuliza kipi kimemchekesha. Mleta uzi kama bado unatafuta ajira, upande wa hobbies KUCHEKA iwe namba moja.
 
Yah na hili ni tatizo lake kama hapo kamponda stamina.

Mpoki ni mchekeshaji mzuri sana tatizo lake anaweza kukutovukia adabu ili achekeshe watu.
Anachekesha sema anafaa kuwa na mtu wa kumfanyia rehearsal kabla hajapanda jukwaa lolote maana hakawiagi kuropoka pumba ama kudhalilisha mtu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui umeona wapi nmesema mambo ya mendeleo.mbona nmetumia kiswahili chepesi kama namwandikia mtoto wa miaka 4? Nacho umeshindwa elewa?tatizo ni kubwa sana katika elimu yetu.

ulitaka aongelee mambo ya maendeleo kwenye stand up comedy? Au unadhani hiyo ni kampeni, Mpoki ndio best stand up comedian bongo PERIOD!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndo anapoboa sana.

Standup comedians bongo mi naona wapo wawili tu, Mc Mandevu na Deo wote wa cheka tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Pia Kuna dogo mmoja .pale anaitwa sijui Octalema huwa anajiandaa vizuri akipanda jukwaani.. zile ndio comedy za kisasa hao kina mpoki wanapanda jukwaani bila kujiandaa wakitegemea kuropoka tu
 
Pia Kuna dogo mmoja .pale anaitwa sijui Octalema huwa anajiandaa vizuri akipanda jukwaani.. zile ndio comedy za kisasa hao kina mpoki wanapanda jukwaani bila kujiandaa wakitegemea kuropoka tu
Hahaha mkuu pia inahitaji ujasiri sana kufanya vile .
Mpoki anaweza ila akiacha kukashfu watu basi ni the best.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
only comedy inayonichekesha ni zile stand up za kimarekani na churchill ile ya kikenya wakenya wametuacha mbali sana kwenye stand up comedy ni wabunifu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…