Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Kuna watu huwa wanacheka hata unajiuliza kipi kimemchekesha. Mleta uzi kama bado unatafuta ajira, upande wa hobbies KUCHEKA iwe namba moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpoki ni mtukanaji sio mchekeshaji maneno mengi anatukana wala hachekeshi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kucheka ni feeling ya mtu tu,kila mtu atakua ana mchekeshaji wake ambaye anaona ni best kwake,hili jambo huwezi kumpangia mtu kwa kumwambia huyu ni mchekeshaji bora kuliko yule.
Anachekesha sema anafaa kuwa na mtu wa kumfanyia rehearsal kabla hajapanda jukwaa lolote maana hakawiagi kuropoka pumba ama kudhalilisha mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
ulitaka aongelee mambo ya maendeleo kwenye stand up comedy? Au unadhani hiyo ni kampeni, Mpoki ndio best stand up comedian bongo PERIOD!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo anapoboa sana.
Standup comedians bongo mi naona wapo wawili tu, Mc Mandevu na Deo wote wa cheka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
ulitaka aongelee mambo ya maendeleo kwenye stand up comedy? Au unadhani hiyo ni kampeni, Mpoki ndio best stand up comedian bongo PERIOD!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kweli nilipe pesa kwenda kuchekeshwa na Mpoki?
Kuna yule dogo wa kisukuma anaitwaga nani vile aisee?Ndo mana nikasema kwa upwnde wangu.kila mtu anachekeshwa kwa namna yake.mimi binafsi vichekesho vya matendo sio issue kwangu.
Huwa nacheka sana kwa mtu anaetumia maneno kuzungumza kama mpoki na wengineo kina erric omondi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndo anapoboa sana.
Standup comedians bongo mi naona wapo wawili tu, Mc Mandevu na Deo wote wa cheka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu pia inahitaji ujasiri sana kufanya vile .Pia Kuna dogo mmoja .pale anaitwa sijui Octalema huwa anajiandaa vizuri akipanda jukwaani.. zile ndio comedy za kisasa hao kina mpoki wanapanda jukwaani bila kujiandaa wakitegemea kuropoka tu
Dah mkuu kama unavyojua tupo watu tofauti sana humu.pengine mtu ana stress zake ukimuanza tu ananunua ugomvi.
Rudia tena kusoma comment yangu uliyoiquote,jibu limo humo humo tayari.
Hata mimi namkubali sana Mpoki wa style yake hiyoNdo mana nikasema kwa upwnde wangu.kila mtu anachekeshwa kwa namna yake.mimi binafsi vichekesho vya matendo sio issue kwangu.
Huwa nacheka sana kwa mtu anaetumia maneno kuzungumza kama mpoki na wengineo kina erric omondi
Sent using Jamii Forums mobile app