πππDah mkuu kama unavyojua tupo watu tofauti sana humu.pengine mtu ana stress zake ukimuanza tu ananunua ugomvi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jolmaster ?
Pia Kuna dogo mmoja .pale anaitwa sijui Octalema huwa anajiandaa vizuri akipanda jukwaani.. zile ndio comedy za kisasa hao kina mpoki wanapanda jukwaani bila kujiandaa wakitegemea kuropoka tu